Tunatoa mikopo ya haraka na yenye masharti nafuu kusaidia wafanyabiashara na wafanyakazi kufikia malengo yao ya kifedha.
MACHORI CREDIT ni kampuni inayoongoza katika utoaji wa mikopo binafsi nchini Tanzania. Tumejitolea kuwa suluhisho la kifedha kwa wateja wetu kuweza kukua na kufanikiwa.
Tunathamini uwazi, uaminifu, na huduma bora kwa wateja wetu wote.
Tunatoa huduma za kifedha maalum kwa ajili ya mahitaji yako ya kipekee
Mikopo kwa Wafanyabiara Wadogo na wa Kati, Pamoja na Wafanyakazi wa Sekta Binafsi na Umma.
Masharti Rahisi ya Urejesho: Lipa kwa Wiki au Mwezi Kulingana na Uwezo Wako.
Mikopo Binafsi: Mikopo Yetu Inatolewa kwa Mtu Mmoja Mmoja, Sio Vikundi.
Tuko karibu nawe katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania